WEKA ODA YAKO MAPEMA
TECNO inaendelea kutoa simu za kisasa zenye teknolojia ya hali ya juu. Leo, tuko hapa kujadili habari njema zilizosikika kwa wapenzi wa simu za kufunguka,PHANTOM V FLIP inapatikana kwa kuweka oda mapema,kuanzia tarehe 15 mwezi wa kumi mpaka tarehe 15 mwezi wa kumi na moja mwaka 2023, kwa bei ya punguzo la asilimia kumi kwa kufanya malipo ya 50000Tshs kama kianzio na kushikilia. Simu hii ya TECNO iliofanikiwa kuvunja anga za za Teknolojia kwa yeyote ataefanikiwa kuweka oda mapema atapata ofa ya zawadi na kifurushi kabambe kutoka TIGO cha GB 96 kutumika mwaka mzima kwa wateja wote wataofanikiwa kuweka oda ya kabla ya tarehe 15 mwezi wa kumi na moja. Kuhusu utendaji, PHANTOM V Flip inajivunia kamera yenye kipimo cha megapikseli 64 na uwezo wa kuzidisha picha hadi mara 10 kwa kutumia zoom ya dijiti, na pia ina betri yenye uwezo wa 4000mAh na malipo ya haraka ya 45W, kuhakikisha unaweza kucheza michezo au kuhimili matumizi marefu bila tatizo. Weka oda sasa ufurahie uwezo wake. Jinsi...