Posts

Showing posts from May, 2024

TECNO CAMON 30 KUPATIKANA MADUKANI KOTE

Image
Habari njema ni kwamba tunayo furaha kubwa kuwatangazia wateja wetu ya kua simu yenu pendwa ya TECNO CAMON 30 , Sasa inapatikana madukani kote, ikiwa na sifa na ubunifu wa hali ya juu.     Simu hii mpya yenye muundo wa kuvutia, wa kisasa na kioo kikubwa kilichoboreshwa na kinachokupa uwezo wa kuona vema yenye muundo wa kisasa kabisa. CAMON 30 inakuja na kamera ya 50 megapixels ambayo ni ya ubora wa hali ya juu. Kamera hii inatumia sensor bora kutoka kwa kampuni ya SONY, hivyo kuruhusu watumiaji kupiga picha zenye ubora hata kwenye mwanga hafifu.     unataka kujua uwezo wake? Hapa ndo penyewe ina processor ya mediatek 8200 uwezo wa kutumia application zaidi ya tatu kwa wakati mmoja na isionekane yenye kuleta shida yeyote. TECNO CAMON 30 sasa inapatikana kwa urahisi katika maduka yote nchini. Hii sio tu simu ya kawaida ni kama kufungua mlango wa ulimwengu wa burudani na utendaji bora, yote kwa bei ambayo haitaumiza mfukoni.

UZINDUZI WA TECNO CAMON 30 AZAM TV

Image
Wapendwa Watanzania, mkae mkao wa kula kwa sababu TECNO msimu huu tuna habari kubwa na njema , ya kwamba tuna furaha kubwa kutangaza kwamba kutakua na uzinduzi mkubwa wa TECNO CAMON 30 utakaoonyeshwa moja kwa moja kwenye kipindi chako pendwa cha televisheni  kupitia AZAM SPORT 1.     Tunakuahidi mdau wetu tukio hili litakua la kipekee kabisa tunapozindua simu yetu mpya ya TECNO CAMON 30  .Jiunge nasi tunapowasilisha sifa za ubunifu, muundo wa kuvutia, na utendaji wa kipekee wa CAMON 30 hasa upande wa camera ikishirikiana na SONY kuifanya iwe bora zaidi tukitarajia kubadilisha kabisa uzoefu wako juu ya simu za mkononi. Kama wewe ni mpenzi wa teknolojia, mpenzi wa picha, au una hamu kuhusu kile kitakachokuwa kikubwa katika ulimwengu wa simu za mkononi usikae mbali na luninga katika kipindi cha AZAM sports 1 kwa ajili ya taarifa zaidi, hili ni tukio ambalo sio la kukosa. Jiunge nasi tarehe 05, mwezi huu wa tano, saa 1 usiku ili uwe miongoni mwa watakaofanikiwa kuoda si...