Posts

Showing posts from March, 2024

UZINDUZI WA DUKA EXCLUSIVE LA TECNO JIJINI MBEYA

Image
Ugonile watu wetu wa Mbeya, habari njema ni kwamba! TECNO, kampuni maarufu ya simu za mkononi, imefungua duka jipya la kipekee, ikiashiria upanuzi mkubwa wa mauzo ya rejareja, lililopo mkabala na benki ya NMB hapa Soweto Duka hili linalenga kubadilisha uzoefu wa ununuzi wa simu za mkononi katika mji huo. Kwa muundo wake wa kuvutia na huduma za kisasa, shukrani zetu zimuendee Juma Zuberi Homera afisa utamaduni kwa kukaribia kama mgeni rasmi katika uzinduzi huu mkubwa wa duka jijini Mbeya. Duka hili jipya laTECNO linawapa wateja fursa ya kipekee ya kupata simu mbali mbali za TECNO, kutoka toleo la hali ya juu hadi toleo la kawaida. Kuna simu za CAMON zenye utendaji bora, SPARK zenye mtindo wa kipeke, bila kusahau toleo la POP. Wafanyakazi wanaohudumu ni marafiki na wanakusaidia kupata simu bora kulingana na mahitaji yako.   L akini duka hili pia ni kituo kushirikiana na jamii kwa ukaribu zaidi TECNO inawaalika wapenzi wote wa teknolojia kuja na kuchunguza mustakabali wa kidigitali, ...

NUNUA TECNO CAMON 20 PR0 UJIPATIE ZAWADI

Image
  Tunapoingia katika mwezi mtukufu wa RAMADHAN , Tungependa kukifanya kipindi hichi kuwa na umuhimu kwako, kwa hivyo leo hii TECNO ina habari njema ya kua unaweza kununua simu zetu msimu huu na kupokea zawadi maalum.Simu hizi ni toleo la CAMON, ambapo utaponunua TECNO CAMON 20 PRO unapata fursa ya kupokea zawadi ya earbuds & GB 96 BURE kutoka Vodacom! Kwa maendeleo ya kiteknolojia katika simu za mkononi, tunaleta kwako CAMON 20 - toleo linalojulikana kwa ubora na utendaji wa hali ya juu katika upande wa kamera. Toleo hili limepata sifa ya kimataifa kwa ubunifu wake na hata kutunukiwa tuzo za kimataifa kama Muse Gold Awards. Sifa za CAMON 20 Pro 5G Tumia nafasi hii ya pekee kununua simu ya CAMON 20 PRO na upate zawadi ya earbuds za TWS. Hii ni njia nzuri ya kuboresha uzoefu wako wa simu ya mkononi na kufurahia zawadi maalum katika kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani. Karibu na ujiunge nasi katika kusherehekea Mwezi Mtukufu RAMADHANI MUBARAK!