Posts

Showing posts from February, 2024

NUNUA TECNO SPARK 10 PRO UPATE TECNO K17 BURE

Image
Habari njema kwako leo! Unaweza kupata TECNO SPARK 10 PRO yenye memory ya 128GB na RAM ya 8GB kwa bei ya Tshs 380,000 tu. Na unajua nini? Tuna ofa maalum kwa wateja wote wa simu hii kwa yeyote atenunua atapata TECNO K17 kama ofa mwanzoni mwa mwaka huu. TECNO SPARK 10 PRO inafahamika kwa ubora wa hali ya juu, ikichanganya muundo wa kisasa na uwezo mzuri wa kamera. Kamera yenye 32MP huchukua picha bora na mwangaza unaozuilika kwa urahisi (kiwango cha mwanga wa taa cha 3D). Pamoja na betri kubwa ya 5000mAh na chaja ya haraka ya 18W. Tumia nafasi hii kununua TECNO SPARK 10 PRO sasa na upate zawadi maalum ya simu ya TECNO K17! Tunataka wewe, wateja wetu wapendwa, uanze mwaka kwa furaha. Ununue kwa furaha.

TECNO SPARK 20 KUPATIKANA MADUKANI KOTE

Image
Habari njema ni kwamba tunayo furaha kubwa kuwatangazia wateja wetu ya kua simu yenu pendwa ya TECNO SPARK  20, Sasa inapatikana madukani kote, ikiwa na sifa na ubunifu wa hali ya juu.   Simu hii ina  ubunifu na muundo wa kuvutia, imeleta mabadiliko katika uzoefu wa matumizi ya simu kwa watumiaji duniani kote.       Simu hii mpya ina muundo wa kuvutia, wa kisasa na kioo kikubwa kilichoboreshwa na kinachokupa uwezo wa kuona vema.Vipi kuhusu kamera? Spark 20 imekuja na kamera yenye ubora wa mega pixel 108, ikiruhusu watumiaji kupiga picha zenye ubora hata kwenye mwanga hafifu, unataka kujua uwezo wake? Hapa ndo penyewe ina processor ya G99 uwezo wa kutumia application zaidi ya tatu kwa wakati mmoja na isionekane kuleta shida yeyote. TECNO SPARK 20 sasa inapatikana kwa urahisi katika maduka yote nchini. Hii sio tu simu ya kawaida ni kama kufungua mlango wa ulimwengu wa burudani na utendaji bora, yote kwa bei ambayo haitaumiza mfukoni.