NUNUA TECNO CAMON 20 PR0 UJIPATIE ZAWADI

 Tunapoingia katika mwezi mtukufu wa RAMADHAN , Tungependa kukifanya kipindi hichi kuwa na umuhimu kwako, kwa hivyo leo hii TECNO ina habari njema ya kua unaweza kununua simu zetu msimu huu na kupokea zawadi maalum.Simu hizi ni toleo la CAMON, ambapo utaponunua TECNO CAMON 20 PRO unapata fursa ya kupokea zawadi ya earbuds & GB 96 BURE kutoka Vodacom!

Kwa maendeleo ya kiteknolojia katika simu za mkononi, tunaleta kwako CAMON 20 - toleo linalojulikana kwa ubora na utendaji wa hali ya juu katika upande wa kamera. Toleo hili limepata sifa ya kimataifa kwa ubunifu wake na hata kutunukiwa tuzo za kimataifa kama Muse Gold Awards.

Sifa za CAMON 20 Pro 5G

Tumia nafasi hii ya pekee kununua simu ya CAMON 20 PRO na upate zawadi ya earbuds za TWS. Hii ni njia nzuri ya kuboresha uzoefu wako wa simu ya mkononi na kufurahia zawadi maalum katika kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani. Karibu na ujiunge nasi katika kusherehekea Mwezi Mtukufu RAMADHANI MUBARAK!

Comments

Popular posts from this blog

NYAKUA CAMON 20 KWA MKOPO

NUNUA TECNO SPARK 10 PRO UPATE TECNO K17 BURE

JIPATIE PHANTOM X2 KWA MKOPO