TECNO SPARK 20 KUPATIKANA MADUKANI KOTE

Habari njema ni kwamba tunayo furaha kubwa kuwatangazia wateja wetu ya kua simu yenu pendwa ya TECNO SPARK 20, Sasa inapatikana madukani kote, ikiwa na sifa na ubunifu wa hali ya juu. Simu hii ina  ubunifu na muundo wa kuvutia, imeleta mabadiliko katika uzoefu wa matumizi ya simu kwa watumiaji duniani kote. 

    

Simu hii mpya ina muundo wa kuvutia, wa kisasa na kioo kikubwa kilichoboreshwa na kinachokupa uwezo wa kuona vema.Vipi kuhusu kamera? Spark 20 imekuja na kamera yenye ubora wa mega pixel 108, ikiruhusu watumiaji kupiga picha zenye ubora hata kwenye mwanga hafifu, unataka kujua uwezo wake? Hapa ndo penyewe ina processor ya G99 uwezo wa kutumia application zaidi ya tatu kwa wakati mmoja na isionekane kuleta shida yeyote.
TECNO SPARK 20 sasa inapatikana kwa urahisi katika maduka yote nchini. Hii sio tu simu ya kawaida ni kama kufungua mlango wa ulimwengu wa burudani na utendaji bora, yote kwa bei ambayo haitaumiza mfukoni.

Comments

Popular posts from this blog

NYAKUA CAMON 20 KWA MKOPO

NUNUA TECNO SPARK 10 PRO UPATE TECNO K17 BURE

JIPATIE PHANTOM X2 KWA MKOPO