NUNUA TECNO SPARK 10 PRO UPATE TECNO K17 BURE

Habari njema kwako leo! Unaweza kupata TECNO SPARK 10 PRO yenye memory ya 128GB na RAM ya 8GB kwa bei ya Tshs 380,000 tu. Na unajua nini? Tuna ofa maalum kwa wateja wote wa simu hii kwa yeyote atenunua atapata TECNO K17 kama ofa mwanzoni mwa mwaka huu.

TECNO SPARK 10 PRO inafahamika kwa ubora wa hali ya juu, ikichanganya muundo wa kisasa na uwezo mzuri wa kamera. Kamera yenye 32MP huchukua picha bora na mwangaza unaozuilika kwa urahisi (kiwango cha mwanga wa taa cha 3D). Pamoja na betri kubwa ya 5000mAh na chaja ya haraka ya 18W.
Tumia nafasi hii kununua TECNO SPARK 10 PRO sasa na upate zawadi maalum ya simu ya TECNO K17! Tunataka wewe, wateja wetu wapendwa, uanze mwaka kwa furaha. Ununue kwa furaha.





Comments

Popular posts from this blog

NUNUA TECNO CAMON 20 PR0 UJIPATIE ZAWADI

TECNO SPARK 20 KUPATIKANA MADUKANI KOTE