UZINDUZI WA TECNO CAMON 30 AZAM TV
Wapendwa Watanzania, mkae mkao wa kula kwa sababu TECNO msimu huu tuna habari kubwa na njema, ya kwamba tuna furaha kubwa kutangaza kwamba kutakua na uzinduzi mkubwa wa TECNO CAMON 30 utakaoonyeshwa moja kwa moja kwenye kipindi chako pendwa cha televisheni kupitia AZAM SPORT 1.
Tunakuahidi mdau wetu tukio hili litakua la
kipekee kabisa tunapozindua simu yetu mpya ya TECNO CAMON 30 .Jiunge nasi tunapowasilisha sifa za ubunifu, muundo wa kuvutia, na
utendaji wa kipekee wa CAMON 30 hasa upande wa camera ikishirikiana na SONY
kuifanya iwe bora zaidi tukitarajia kubadilisha kabisa uzoefu wako juu ya simu za
mkononi.
Kama
wewe ni mpenzi wa teknolojia, mpenzi wa picha, au una hamu kuhusu kile
kitakachokuwa kikubwa katika ulimwengu wa simu za mkononi usikae mbali na luninga katika kipindi cha AZAM sports 1 kwa ajili ya taarifa zaidi, hili ni tukio ambalo
sio la kukosa.
Jiunge
nasi tarehe 05, mwezi huu wa tano, saa 1 usiku ili uwe miongoni mwa
watakaofanikiwa kuoda simu na kupokea zawadi siku pale utakapofika dukani
kununua simu yako ya TECNO CAMON 30, ili uwe wa kwanza kushuhudia uzinduzi huu.
Kaa tayari kujionea utofauti, na kwa taarifa zaidi tukihesabu kuelekea uzinduzi huu mkubwa wa simu yetu ya mkononi mwaka huu. Jipange kuboresha uzoefu wako wa simu za mkononi na ujionee utofaut.

Comments
Post a Comment