TECNO CAMON 30 KUPATIKANA MADUKANI KOTE
Habari njema ni kwamba tunayo furaha kubwa kuwatangazia wateja wetu ya kua simu yenu pendwa ya TECNO CAMON 30, Sasa inapatikana madukani kote, ikiwa na sifa na ubunifu wa hali ya juu.
Simu
hii mpya yenye muundo wa kuvutia, wa kisasa na kioo kikubwa kilichoboreshwa na
kinachokupa uwezo wa kuona vema yenye muundo wa kisasa kabisa.
CAMON
30 inakuja na kamera ya 50 megapixels ambayo ni ya ubora wa hali ya juu. Kamera
hii inatumia sensor bora kutoka kwa kampuni ya SONY, hivyo kuruhusu watumiaji
kupiga picha zenye ubora hata kwenye mwanga hafifu.
TECNO CAMON 30 sasa inapatikana kwa urahisi katika maduka yote nchini. Hii sio tu simu ya kawaida ni kama kufungua mlango wa ulimwengu wa burudani na utendaji bora, yote kwa bei ambayo haitaumiza mfukoni.
Comments
Post a Comment