NYAKUA CAMON 20 KWA MKOPO

Habari njema ni kwamba, Sasa unaweza kujipatia matoleo ya CAMON 20 kwa mkopo! Matoleo ya CAMON 20, yanafahamika kwenye ubora na viwango vya juu kwenye upande wa camera. Toleo hili lililotunukiwa tuzo za kimataifa Muse Gold Awards katika ubunifu ulionao.

Matoleo hayo ya CAMON 20 yaliopo katika horodha ya kupatikana kwa mkopo ni CAMON 20 na CAMON 20 Pro 5G. 

Sifa za CAMON 20 & CAMON 20 Pro 5G (Wasiliana nasi 0713911749)

Kwa kushirikiana na Easy Buy Tanzania, simu hizi sasa unaweza kuzipata kwa mkopo kwa kuanzia na kulipa malipo ya awali 30% na kisha kuendelea kulipia kwa awamu kidogo kidogo.




Huduma hii kwa sasa inapatikana katika mikoa 5 tu! Wasiliana nasi kulingana na mkoa uliopo kwa msaada zaidi; Dar es Salaam 0713911749 / 0715311203, Morogoro 0713911759 / 0715311203, Mbeya 0673458572, Mwanza 0678243680, Arusha 0765687294.

Comments

Popular posts from this blog

NUNUA TECNO SPARK 10 PRO UPATE TECNO K17 BURE

JIPATIE PHANTOM X2 KWA MKOPO