JIPATIE PHANTOM X2 KWA MKOPO
TECNO inapenda kuwaletea Habari njema ya kwamba,kuanzia hivi sasa unaweza kujipatia simu za PHANTOM X2 kwa mkopo! PHANTOM X2 inajulikana kwa ubora wake wa hali ya juu na kamera bora na uwezo mkubwa wa kutunza vitu yenye 256GB ROM 12GB RAM, ikiwa na AMOLED SCREEN.
Toleo hili la PHANTOM X2 lililopo ni phantom X series.
Kwa kushirikiana na Easy Buy Tanzania, sasa unaweza kununua simu hizi kwa mkopo kwa kuanza kwa kulipa asilimia 30 ya gharama ya awali, na kisha utaendelea kulipa kwa awamu ndogo ndogo.PHANTOM X2 Pro kwa kianzio cha Tsh810000 na PHANTOM X2 kwa kianzio cha Tshs1,260,000 na Tshs180,000 kwa malipo ya kila mwezi.
Huduma hii kwa sasa inapatikana katika mikoa 5 tu! Unaweza kuwasiliana nasi kulingana na mkoa uliopo kwa msaada zaidi; Dar es Salaam 0713911749 / 0715311203, Morogoro 0713911759 / 0715311203, Mbeya 0673458572, Mwanza 0678243680, Arusha 0765687294.
.


Comments
Post a Comment