NUNUA SIMU UPATE ZAWADI
Katika ulimwengu wa kidijitali unaobadilika kwa haraka simu ya mkononi imekuwa rafiki na muhimu si tu kifaa cha mawasiliano pia ni mlango wa burudani mbali.Leo TECNO tuna habari ya kufurahisha kwako ya kua unaweza kununua simu zetu kwa kipindi hichi na kupata zawadi simu hizi ni TECNO SPARK 10 PRO na
kupata zawadi ya simu ya kukokotoa TECNO T101 ,CAMON 20 PRO na utajipatia
zawadi ya earpods za ORAIMO Tws na pia ukinunua SPARK10C utajipatia pen,mwamvuli
ambao ni muhimu kwa kipindi hichi cha mvua, note book Pamoja na brand
customized water bottle.
Tumia nafasi hii ya kununua simu hizi TECNO SPARK 10 PRO,CAMON 20 PRO na SPARK 10C ili ujipatie zawadi, ambapo wanunuzi wanapata simu mpya na zawadi nzuri , kuwafanya wateja wetu mfurahie kipindi hichi cha mwisho wa mwaka, pia ni njia nzuri ya kuboresha uzoefu wako wa simu ya mkononi na kufurahia kitu kidogo cha ziada maalum katika mchakato. Nkutakie manunuzi mema!
Teknolojia ya simu za mkononi inapoendelea kusonga mbele hamu ya kubaki na sifa ya ubunifu wa hivi karibuni umekua mkubwa zaidi, lakini kwa kuboresha simu yako unaweza kuja na kitu cha kusisimua zaidi,TECNO Siyo tu tunakuruhusu kubaki na teknolojia ya hivi karibuni, lakini pia tunakusaidia kuongeza bonasi ya kusisimua kwenye ununuzi wako.


Comments
Post a Comment