SIMU KWA MKOPO BILA RIBA
Habari njema ni kwamba leo tunawaletea ofa ya kununua simu ya toleo la SPARK 10C kwa mkopo bila RIBA kwa kianzio cha Tshs120000 ndani ya siku 90, wote tunatambua kwamba toleo hili la SPARK ni simu yenye muonekano wa kipekee zaidi hasa katika uwezo wake mkubwa wa kutunza vitu kwa GB 128 na RAM ya GB 16.
Matoleo haya yanafahamika kwenye ubora na viwango vya juu kwa kuunganisha muundo wa vijana na wa kisasa na uwezo wa kujipiga picha za ushindani. Ina kamera yenye 16MP inayong'aa kutoa mwangaza unaoweza kurekebishwa kwa kiwango cha tatu, pamoja na betri kubwa ya 500Mah na chaja ya haraka ya 18W.
Huduma hii kwa sasa inapatikana katika mikoa 5 tu! Wasiliana nasi kulingana na mkoa uliopo kwa msaada zaidi; Dar es Salaam 0713911749 / 0715311203, Morogoro 0713911759 / 0715311203, Mbeya 0673458572, Mwanza 0678243680, Arusha 0765687294


Comments
Post a Comment