SPARK 10 KWA BEI YA PUNGUZO

Leo tuna habari njema ya kwamba, Sasa unaweza kujipatia matoleo ya SPARK 10 kwa bei ya punguzo la 40,000Tshs ambayo unaweza kujipatia SPARK 10 PRO yenye GB 128 na RAM ya GB 8 wa Tshs340,000 badala ya Tshs 380000, pamoja na SPARK 10 C yenye uwezo wa kuhifadhi GB 128 na RAM ya GB 8 kwa bei pungufu ya Tshs285000 badala ya Tshs300000!


Sifa za SPARK  10
Matoleo haya yanafahamika kwenye ubora na viwango vya juu kwa kuunganisha muundo wa vijana na wa kisasa na uwezo wa kujipiga picha za ushindani. Ina kamera yenye 32MP inayong'aa kutoa mwangaza unaoweza kurekebishwa kwa kiwango cha tatu, pamoja na betri kubwa ya 500Mah na chaja ya haraka ya 18W.

Huduma ya punguzo la tshs40,000 kwa matoleo haya ya SPARK 10, kwa sasa unaweza kuipata kwa kutembelea maduka yetu yote nchini.

Comments

Popular posts from this blog

NYAKUA CAMON 20 KWA MKOPO

NUNUA TECNO SPARK 10 PRO UPATE TECNO K17 BURE

JIPATIE PHANTOM X2 KWA MKOPO