UJIO WA PHANTOM V FLIP
Baada ya uzinduzi wa TECNO PHANTOM V FLIP 5G uliofanyika Singapore mnamo tarehe 22 September 2023, sasa kaa mkao wa kula kuipata nchini kwako kwa bei elekezi kwenye maduka yako yote ya TECNO, simu hii pendwa inakusudia kurekebisha zama za simu ya kufunguka kwenda zaidi ya mipaka ya teknolojia ikiwa na laini kumbukumbu yenye ubora wa hali ya juu.
Simu hii pendwa ya kufunguka ina muundo wa pekee wa bapa la kufunguka linalojumuisha mfumo wa camera kuu wa mega pixel 64,camera ya selfie mega pixel 32 na skrini ya kufunika hivyo kufanya iwe na muonekano wa kipekee na kuvutia,simu hii pia ina uwezo wa kutunza vitu wa RAM GB 8 na memory GB 256,ina uwezo mkubwa wa kutunza chaji wa 4000 mAh Pia ina kipengele cha kuonyesha (AOD) kinachoruhusu kubinafsisha skrini ya kufunika kwa kukusanya picha simu hii pia ina rahisisha kwenye kuibeba na kuitunza mfukoni bila gasia.

Comments
Post a Comment