Posts

NUNUA TECNO SPARK 10 PRO UPATE TECNO K17 BURE

Image
Habari njema kwako leo! Unaweza kupata TECNO SPARK 10 PRO yenye memory ya 128GB na RAM ya 8GB kwa bei ya Tshs 380,000 tu. Na unajua nini? Tuna ofa maalum kwa wateja wote wa simu hii kwa yeyote atenunua atapata TECNO K17 kama ofa mwanzoni mwa mwaka huu. TECNO SPARK 10 PRO inafahamika kwa ubora wa hali ya juu, ikichanganya muundo wa kisasa na uwezo mzuri wa kamera. Kamera yenye 32MP huchukua picha bora na mwangaza unaozuilika kwa urahisi (kiwango cha mwanga wa taa cha 3D). Pamoja na betri kubwa ya 5000mAh na chaja ya haraka ya 18W. Tumia nafasi hii kununua TECNO SPARK 10 PRO sasa na upate zawadi maalum ya simu ya TECNO K17! Tunataka wewe, wateja wetu wapendwa, uanze mwaka kwa furaha. Ununue kwa furaha.

TECNO SPARK 20 KUPATIKANA MADUKANI KOTE

Image
Habari njema ni kwamba tunayo furaha kubwa kuwatangazia wateja wetu ya kua simu yenu pendwa ya TECNO SPARK  20, Sasa inapatikana madukani kote, ikiwa na sifa na ubunifu wa hali ya juu.   Simu hii ina  ubunifu na muundo wa kuvutia, imeleta mabadiliko katika uzoefu wa matumizi ya simu kwa watumiaji duniani kote.       Simu hii mpya ina muundo wa kuvutia, wa kisasa na kioo kikubwa kilichoboreshwa na kinachokupa uwezo wa kuona vema.Vipi kuhusu kamera? Spark 20 imekuja na kamera yenye ubora wa mega pixel 108, ikiruhusu watumiaji kupiga picha zenye ubora hata kwenye mwanga hafifu, unataka kujua uwezo wake? Hapa ndo penyewe ina processor ya G99 uwezo wa kutumia application zaidi ya tatu kwa wakati mmoja na isionekane kuleta shida yeyote. TECNO SPARK 20 sasa inapatikana kwa urahisi katika maduka yote nchini. Hii sio tu simu ya kawaida ni kama kufungua mlango wa ulimwengu wa burudani na utendaji bora, yote kwa bei ambayo haitaumiza mfukoni.

UJIO WA BIDHAA MPYA ZA TECNO

Image
Habari njema kwa wapenzi wa teknolojia!taarifa za kusisimua ni kwamba TECNO inategemea kuwaletea vitu vizuri kwenye ulimwengu wa teknolojia na vifaa bora ambavyo vitafanya maisha yako ya dijitali kuwa ya kufurahisha zaidi. Hatukupi tu vifaa; tunageuza maisha yako ya kila siku kuwa safari ya teknolojia. Jitayarishe kwa uboreshaji wa teknolojia wa kusisimua, itakuwa ya kipekee! Katika uboreshaji huu wa teknolojia ni, security camera yenye kuthibitisha usalama wa hali ya juu na yenye uwezo mkubwa wa kugundua harakati mbali mbali zinazoendelea kwa wakati, power bank yenye uwezo mkubwa wa kuchaji simu yako kwa haraka, Laptops zinakuletea mtindo safi na wa kuvutia, earbuds zinazotoa sauti ya hali ya juu, na saa janja yenye mtindo bora na wa kipekee iko hapa kufanya maisha kuwa rahisi na mepesi katika ulimwengu huu mpya wa teknolojia.     Hivyo, TECNO inakuletea mabadiliko makubwa kwa jinsi vifaa hivi vinaweza kubadilisha mustakabali ...

SASA POP 8 IPO MADUKANI

Image
Habari njemani kwamba TECNO imetangaza rasmi uzinduzi wa simu mpya kwenye mfululizo wa Pop, TECNO Pop 8. Sasa inapatikana katika maduka yote nchini kwa bei nafuu. Simu hii ina huduma za ubunifu na muundo wa kuvutia, ikiahidi kuleta mabadiliko katika uzoefu wa matumizi ya simu kwa watumiaji duniani kote. Toleo jipya la POP 8 linajitokeza kama mojawapo ya simu bora yenye sifa nzuri. Muundo wake mwembamba na wa kisasa, pamoja na betri inayodumu kwa muda mrefu, hutoa ufanisi wakati wa shughuli za kila siku. Kipengele cha pekee cha DUAL SPEAKER kinaboresha ubora wa sauti kwa kutumia mfumo wa speaker mbili kwenye POP 8, na pia ina uwezo wa DYNAMIC PORT. Sasa, TECNO Pop 8 inapatikana kwa urahisi katika maduka yote nchini. Hii ni hatua kubwa katika ulimwengu wa simu za mkononi, ikileta muundo mwembamba, utendaji wa nguvu, na bei nafuu kwa watumiaji.  

SIMU KWA MKOPO BILA RIBA

Image
Habari njema ni kwamba leo tunawaletea ofa ya kununua simu ya toleo la SPARK 10C kwa mkopo bila RIBA  kwa kianzio cha Tshs120000 ndani ya siku 90, wote tunatambua kwamba toleo hili la SPARK  ni simu yenye muonekano wa kipekee zaidi hasa katika uwezo wake mkubwa wa kutunza vitu kwa GB 128 na RAM ya GB 16. Matoleo haya yanafahamika kwenye ubora na viwango vya juu kwa kuunganisha muundo wa vijana na wa kisasa na uwezo wa kujipiga picha za ushindani. Ina kamera yenye 16MP inayong'aa kutoa mwangaza unaoweza kurekebishwa kwa kiwango cha tatu, pamoja na betri kubwa ya 500Mah na chaja ya haraka ya 18W. Huduma hii kwa sasa inapatikana katika mikoa 5 tu! Wasiliana nasi kulingana na mkoa uliopo kwa msaada zaidi; Dar es Salaam  0713911749 / 0715311203, Morogoro 0713911759 / 0715311203, Mbeya 0673458572, Mwanza 0678243680, Arusha 0765687294

NUNUA SIMU UPATE ZAWADI

Image
Katika ulimwengu wa kidijitali unaobadilika kwa haraka simu ya mkononi imekuwa rafiki na muhimu si tu kifaa cha mawasiliano pia ni mlango wa burudani mbali.Leo TECNO tuna habari ya kufurahisha kwako ya kua unaweza kununua simu zetu kwa kipindi hichi na kupata zawadi simu hizi ni  TECNO SPARK 10 PRO na kupata zawadi ya simu ya kukokotoa TECNO T101 ,CAMON 20 PRO na utajipatia zawadi ya earpods za ORAIMO Tws na pia ukinunua SPARK10C utajipatia pen,mwamvuli ambao ni muhimu kwa kipindi hichi cha mvua, note book Pamoja na brand customized water bottle. Teknolojia ya simu za mkononi inapoendelea kusonga mbele hamu ya kubaki na sifa ya ubunifu wa hivi karibuni umekua mkubwa zaidi, lakini kwa kuboresha simu yako unaweza kuja na kitu cha kusisimua zaidi,TECNO Siyo tu tunakuruhusu kubaki na teknolojia ya hivi karibuni, lakini pia tunakusaidia kuongeza bonasi ya kusisimua kwenye ununuzi wako. Tumia nafasi hii ya kununua simu hizi TECNO SPARK 10 PRO,CAMON 20 PRO na SPARK 10C ili ujipatie zawa...

UJIO WA PHANTOM V FLIP

Image
Baada ya uzinduzi wa TECNO PHANTOM V FLIP 5G uliofanyika Singapore mnamo tarehe 22  September 2023, sasa kaa mkao wa kula kuipata nchini kwako kwa bei elekezi kwenye maduka yako yote ya TECNO, simu hii pendwa inakusudia kurekebisha zama za simu ya kufunguka kwenda zaidi ya mipaka ya teknolojia ikiwa na laini kumbukumbu yenye ubora wa hali ya juu. Simu hii pendwa ya kufunguka ina muundo wa pekee wa bapa la kufunguka linalojumuisha mfumo wa camera kuu wa mega pixel 64,camera ya selfie mega pixel 32 na skrini ya kufunika hivyo kufanya iwe na muonekano wa kipekee na kuvutia,simu hii pia ina uwezo wa kutunza vitu wa RAM GB 8 na memory GB 256,ina uwezo mkubwa wa kutunza chaji wa 4000 mAh Pia ina kipengele cha kuonyesha (AOD) kinachoruhusu kubinafsisha skrini ya kufunika kwa kukusanya picha simu hii pia ina rahisisha kwenye kuibeba na kuitunza mfukoni bila gasia. Kwa utendaji zaidi PHANTOM V FLIP ina uwezo wa kuzidisha picha hadi mara 10 kwa kutumia zoom ya dijiti kuhakikisha, na pia un...